Belle 9 - Sumu Ya Penzi
Misc. Unsigned BandsVersion1TuningE2 A2 D3 G3 B3 E4 (low to high)
TuningE2 A2 D3 G3 B3 E4 (low to high) Download chord source (.txt)
90
Practice playback uses estimated timing for this text arrangement.
Chords in this song
Strum
D-DU-UDU
Ohhh Ohhh, yeahh ehhh
yeahh
Penzi ni kitu ambacho kinaweza kukupa furaha maishani mwako
Vilevile penzi linaweza kukupa huzuni milele moyoni mwako
Ukashindwa kuelewani na ndugu, rafiki hata na wazazi wako
Utakosa raha ya maisha, hata kama una pesa
Vitalala viungo vyako, kimawazo utakesha
Utakosa raha ya maisha, hata kama una pesa
Vitalala viungo vyako, kimawazo utakesha
Sumu ya penzi ukishailamba
Hata kwa maziwa huwezi kupona
Sumu ya penzi ukishailamba
Hata kwa maziwa huwezi kupona
Sio kwamba mi nakukataa
Ila moyo wangu unasita (moyo unasita)
Wazazi wangu watanishangaa
Nyumbani wewe ulishatoroka (ulishatoroka)
Sio kwamba mi nakukataa
Ila moyo wangu unasita
Wazazi wangu watanishangaa
Nyumbani wewe ulishatoroka
Ulinimwaga kama mchele, kuku wanidonoe (mimi)
Ukanifunga mpaka kitanzi, nani aniokoe (porini)
Ulinimwaga kama mchele, kuku wanidonoe (mimi)
Ukanifunga mpaka kitanzi, nani aniokoe (porini)
Laiti ningejua kuna dawa ya mapenzi
Ningejifunga nisipende
Maana mapenzi kwangu yamekuwa shubiri
Kwa wenzagu mitende
Laiti ningejua kuna dawa ya mapenzi
Ningejifunga nisipende
Maana mapenzi kwangu yamekuwa shubiri
Kwa wenzagu mitende (yeahh)
Mi sihitaji mapenzi na wee
Mi sitaki mapenzi na wee
Ohh baby naomba unielewe
Mi sitaki mapenzi (sihitaji) na wee
Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee
Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee
Nachoweza kusema, sihitaji mapenzi na wee
Mapenzi na wee (ihhh ihhh)
Sio kwamba mi nakukataa (mi nakukataa)
Ila moyo wangu unasita (moyo unasita)
Wazazi wangu watanishanga (watanishanga)
Nyumbani wewe ulishatoroka (ulishatoroka)
Sio kwamba mi nakukataa (ohh ohh)
Ila moyo wangu unasita (ohh ohh)
Wazazi wangu watanishangaa (ohh ohh)
Nyumbani wewe ulishatoroka (ohh ohh)
Sio kwamba mi nakukataa aahh (mimi)
Wazazi wangu watanishanga aahh (mimi)
Sio kwamba mi nakukataa ahhh (ihhh ihh)
Wazazi wangu watanishanga ahhh (yeahh)
Belle 9, rocka Tz records
Niko na Triss
Source: Songsterr · Rights holder? Request removal.
Readable chord sheet for Belle 9 - Sumu Ya Penzi by Misc. Unsigned Bands
Tuning: E2 A2 D3 G3 B3 E4 (low to high)
[Cm] [Fm] [Eb] [Bb] Ohhh Ohhh, yeahh ehhh yeahh [Cm] Penzi ni [Fm]kitu ambacho [Eb]kinaweza kukupa f[Bb]uraha maishani mwako [Cm] Vilevile [Fm]penzi linaweza [Eb]kukupa huzuni m[Bb]ilele moyoni mwako [Cm] Ukashindwa [Fm]kuelewani na [Eb]ndugu, rafiki h[Bb]ata na wazazi wako [Cm] Utakosa [Fm]raha ya maisha, [Eb]hata kama una [Bb]pesa [Cm] Vitalala [Fm]viungo vyako, [Eb]kimawazo u[Bb]takesha [Cm] Utakosa [Fm]raha ya maisha, [Eb]hata kama una [Bb]pesa [Cm] Vitalala [Fm]viungo vyako, [Eb]kimawazo u[Bb]takesha [Cm] Sumu ya penzi [Fm]ukishailamba [Eb] Hata kwa maziwa [Bb]huwezi kupona [Cm] Sumu ya penzi [Fm]ukishailamba [Eb] Hata kwa maziwa [Bb]huwezi kupona [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukataa [Eb] Ila moyo [Bb]wangu unasita (moyo unasita) [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishangaa [Eb] Nyumbani wewe [Bb]ulishatoroka (ulishatoroka) [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukataa [Eb] Ila moyo [Bb]wangu unasita [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishangaa [Eb] Nyumbani wewe [Bb]ulishatoroka [Cm] Ulinimwaga [Fm]kama mchele, [Eb]kuku wanidono[Bb]e (mimi) [Cm] Ukanifunga [Fm]mpaka kitanzi, [Eb]nani anioko[Bb]e (porini) [Cm] Ulinimwaga [Fm]kama mchele, [Eb]kuku wanidono[Bb]e (mimi) [Cm] Ukanifunga [Fm]mpaka kitanzi, [Eb]nani anioko[Bb]e (porini) [Cm] Laiti ningejua kuna [Fm]dawa ya mapenzi [Eb] Ningejifunga n[Bb]isipende [Cm] Maana mapenzi kwangu [Fm]yamekuwa shubiri [Eb] Kwa wenzagu mit[Bb]ende [Cm] Laiti ningejua kuna [Fm]dawa ya mapenzi [Eb] Ningejifunga n[Bb]isipende [Cm] Maana mapenzi kwangu [Fm]yamekuwa shubiri [Eb] Kwa wenzagu mite[Bb]nde (yeahh) [Cm] Mi sihitaji m[Fm]apenzi na wee [Eb] Mi sitaki m[Bb]apenzi na wee [Cm] Ohh baby na[Fm]omba unielewe [Eb] Mi sitaki m[Bb]apenzi (sihitaji) na wee [Cm] Nachoweza k[Fm]usema, s[Eb]ihitaji m[Bb]apenzi na wee [Cm] Nachoweza k[Fm]usema, s[Eb]ihitaji m[Bb]apenzi na wee [Cm] Nachoweza k[Fm]usema, s[Eb]ihitaji m[Bb]apenzi na wee [Cm] Mape[Fm]nzi na w[Eb]ee (ihh[Bb]h ihhh) [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukataa (mi nakukataa) [Eb] Ila moyo [Bb]wangu unasita (moyo unasita) [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishanga (watanishanga) [Eb] Nyumbani wewe [Bb]ulishatoroka (ulishatoroka) [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukataa (ohh ohh) [Eb] Ila moyo [Bb]wangu unasita (ohh ohh) [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishangaa (ohh ohh) [Eb] Nyumbani wewe [Bb]ulishatoroka (ohh ohh) [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukat[Eb]aa a[Bb]ahh (mimi) [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishan[Eb]ga a[Bb]ahh (mimi) [Cm] Sio kwamba [Fm]mi nakukata[Eb]a ah[Bb]hh (ihhh ihh) [Cm] Wazazi wangu [Fm]watanishan[Eb]ga a[Bb]hhh (yeahh) [C#] [Fm] [Eb] Belle 9,[Bb] rocka Tz records [C#] [Fm] [Eb] Niko n[Bb]a Triss