Skip to content
FreeGuitarTabs

Nitafanya

Kidum Feat Lady Jaydee
Version1
90

Chords in this song

Strum
D-DU-UDU
, , ,  x3
 Kidum)
 Ikiwa umeamua kunitoroka
 Ikiwa unahisi kwamba hujiskii  nami tena
 Na mbona imekuwa ngumu kunidokeza
 Naona ni bora nilie leo,  badala ya kesho
 Kupendwa, usipendwe ni  kama kujitia  kitanzi
 Nitachimba na sururu kwa ardhi,  nikitafuta  penzi  lako
 Kidum)
 Ni heri nipigwe fimbo  kwa mwili
 Sababu nitajikuna, ama  nitajikanda na maji moto
 Maumivu ya penzi, mtu  hajikuni
  Wala hajikandi  na maji
  Na hakuna  upasuaji (yoii yoo)
Kama  kuna kosa,  nimewahi  fanya (nieleze)
Kama  kuna jinsi,  tunaweza leta  (mpaka niishi)
 Na kama  kuna kitendo,  linaweza tendwa  (nieleze)
 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda
 Nitafanya, fanya, Nitatenda, tenda
 Nitafanya  (nasema), fanya,  Nitatenda, tenda
 Nitafanya, fanya,  Nitatenda, tenda  (woohh)
 Lady Jaydee)
 Kweli hukumbuki ulioyafanya
 Ni kweli unakumbuka tulikotoka
 Sisemi habari zozote za kusikia
 Bali kwa ushahidi, niliouona
 Msamaha mara ngapi? umeshaomba na  bado
 Je, ni makosa mangapi? niliyoyafumbia  macho
 Lady Jaydee)
 Mpaka leo nahisi kufika  kikomo
 Maumivu yanazidi ndani  ya moyo
 Sitaki kwenda mbali kwani upo  moyoni
  Nikusamehe  mimi mara ngapi  wewe?
  Nieleze mpenzi mara ngapi?
Unataka,  nikusamehe  mara ngapi?  (usihesabu)
Unapenda  nikuvumilie  mara ngapi?  (hii ni ya mwisho)
 Je, wewe  nikulilie  mara ngapi?  (vumilia)
 Sitoweza  (utaweza  wee), Nimechoka  (usichoke)
 Nimeshindwa  (usishindwe),  Naondoka  (usiondoke  mamii)
 Sitoweza  (sitoweza),  Nimechoka  (usichoke)
 Nimeshindwa  (usindindwe), Naondoka leo
 Kidum)
 Ukihesabu ni mara ngapi  umenisamehe
 Ni kama kuhesabu ni mara ngapi  mtoto kaharibu nepi
  Usichoke,  usiondoke,  usilie,  niko hapa kukulinda
Kama  kuna kosa,  nimewahi fanya  (nieleze)
Kama  kuna jinsi,  tunaweza leta  (mpaka niishi)
 Na kama  kuna kitendo,  linaweza tendwa  (nieleze)
 Nitafanya,  fanya,  Nitatenda,  tenda
 Nitado  do do do, fanya,  Nitafanya,  tenda
 Nitafanya  , fanya,  Nitatenda,  tenda
 Nitado  i swear, fanya,  Nitafanya,  tenda  (woohh)
 Unataka,  nikusamehe  mara ngapi?  (usihesabu)
 Unapenda  nikuvumilie  mara ngapi?  (mara ya mwisho)
 Je, wewe  nikulilie  mara ngapi?  (usilie)
 Sitoweza  (unaweza),  Nimechoka  (usichoke)
 Nimeshindwa  (usishindwe),  Naondoka  (uhh  uhh)
 Sitoweza  (weza),  Nimechoka
 Nimeshindwa,  Naondoka  leo
, , ,  )
 Usishindwe baby
 Nitado do do do do

Source: Songsterr · Rights holder? Request removal.

Readable chord sheet for Nitafanya by Kidum Feat Lady Jaydee

[Abm], [Abm], [B], [F#] x3
[E]

Kidum)
[C#m]   Ikiwa umeamua ku[Abm]nitoroka[B]   [F#]
[C#m]   Ikiwa unahisi kwamba huj[Abm]iskii nami te[B]na  [F#]
[C#m]   Na mbona imekuwa ngumu ku[Abm]nidokeza[B]   [F#]
[C#m]   Naona ni bora nilie l[Abm]eo, badala ya [B]kesh[F#]o
[C#m]   Kupendwa, usipendwe [Abm]ni kama kujitia[B] kita[F#]nzi
[C#m]   Nitachimba na sururu kwa a[Abm]rdhi, nikitafut[B]a pen[F#]zi lako

Kidum)
[F#]   Ni heri nipigwe [E]fimbo kwa mwili
[F#]   Sababu nitajikuna, [E]ama nitajikanda na maji moto
[C#m]   Maumivu ya penzi, [B]mtu hajikuni
   Wala haji[F#]kandi na maji
   Na h[E]akuna upasuaji (yoii yoo)

[Abm]Kama kuna [B]kosa,  n[F#]imewahi fanya (n[E]ieleze)
[Abm]Kama kuna [B]jinsi,  tunaweza [F#]leta (mpaka [E]niishi)
Na [Abm]kama kuna [B]kitendo, linaweza [F#]tendwa (n[E]ieleze)
N[Abm]itafanya, [B]fanya, [F#]Nitatenda, [E]tenda
N[Abm]itafanya, [B]fanya, [F#]Nitatenda, [E]tenda
N[Abm]itafanya (nasema), [B]fanya, Ni[F#]tatenda, [E]tenda
N[Abm]itafanya, [B]fanya, N[F#]itatenda, [E]tenda (woohh)

Lady Jaydee)
[C#m]   Kweli hukumbuki ul[Abm]ioyafanya[B]   [F#]
[C#m]   Ni kweli unakumbuka t[Abm]ulikotoka[B]   [F#]
[C#m]   Sisemi habari zozote za [Abm]kusiki[B]a  [F#]
[C#m]   Bali kwa ushahidi, n[Abm]iliouona[B]   [F#]
[C#m]   Msamaha mara ngapi? u[Abm]meshaomba [B]na ba[F#]do
[C#m]   Je, ni makosa mangapi? [Abm]niliyoyafu[B]mbia m[F#]acho

Lady Jaydee)
[F#]   Mpaka leo nahisi [E]kufika kikomo
[F#]   Maumivu yanazidi [E]ndani ya moyo
[C#m]   Sitaki kwenda mbali kwani u[B]po moyoni
   Nik[F#]usamehe mimi mara n[E]gapi wewe?

   Nieleze mpenzi mara ngapi?

[Abm]Unataka, niku[B]samehe mara [F#]ngapi? (us[E]ihesabu)
[Abm]Unapenda niku[B]vumilie mara [F#]ngapi? (hii ni ya [E]mwisho)
Je, [Abm]wewe niku[B]lilie mara n[F#]gapi? (vu[E]milia)
Sito[Abm]weza (uta[B]weza wee), Ni[F#]mechoka (usi[E]choke)
Nime[Abm]shindwa (usi[B]shindwe), Na[F#]ondoka (usio[E]ndoke mamii)
Sit[Abm]oweza (sit[B]oweza), Ni[F#]mechoka (us[E]ichoke)
Nim[Abm]eshindwa (u[B]sindindwe), [F#]Naondoka [E]leo

Kidum)
[C#m]   Ukihesabu ni mara [B]ngapi ume[F#]nisamehe
[C#m]   Ni kama kuhesabu ni mara [B]ngapi mtoto [F#]kaharibu [C#m]nepi
   Usichoke,[B] usion[F#]doke, u[E]silie, niko hapa kukulinda

[Abm]Kama kuna k[B]osa,  nimewahi [F#]fanya (ni[E]eleze)
[Abm]Kama kuna j[B]insi,  tunaweza l[F#]eta (mpaka [E]niishi)
Na [Abm]kama kuna ki[B]tendo, linaweza [F#]tendwa (ni[E]eleze)
Ni[Abm]tafanya, f[B]anya, Nit[F#]atenda, t[E]enda
Ni[Abm]tado do do do, [B]fanya, Ni[F#]tafanya, t[E]enda
Ni[Abm]tafanya , f[B]anya, Ni[F#]tatenda, t[E]enda
Ni[Abm]tado i swear, f[B]anya, Ni[F#]tafanya, t[E]enda (woohh)

Un[Abm]ataka, nikus[B]amehe mara n[F#]gapi? (usi[E]hesabu)
Un[Abm]apenda nikuv[B]umilie mara [F#]ngapi? (mara ya [E]mwisho)
Je, w[Abm]ewe nikul[B]ilie mara n[F#]gapi? (usi[E]lie)
Si[Abm]toweza (un[B]aweza), Nim[F#]echoka (usic[E]hoke)
Nim[Abm]eshindwa (us[B]ishindwe), Na[F#]ondoka (uh[E]h uhh)
Si[Abm]toweza (w[B]eza), Ni[F#]mechoka [E]
Nim[Abm]eshindwa[B], Nao[F#]ndoka le[E]o

[Abm], [B], [F#], [E] )
Usishindwe baby
Nitado do do do do